WanaJF,
Kwa muda sasa nimekuwa nikisikia wapinzani, to be specific, CHADEMA, wakiwa wanajigamba kuwa wazo la katiba lilikuwa lao na wameilaumu serikali kufuatia maamuzi yake ya kulitekeleza eti ya kuwa serikali imekurupuka hivyo ni kama imebaka mchakato wa katiba mpya.
Hayo yameelezwa na viongozi mbalimbali wa CHADEMA kuwa serikali ya CCM imeamua kukurupukia mchakato wa katiba kwa lengo la kuandaa katiba itakayolinda serikali na chama tawala, yaani CCM, na kuvikandamiza vyama vingine pamoja na Watanzania kwa ujumla.
Binafsi sioni tatizo lolote la huu mchakato mpaka sasa, isipokuwa kuna mapungufu madogo madogo tu ikiwemo hili la posho. Ila hoja za wapinzani kuwa huu mchakato umebakwa sioni kama zina mantiki, UNLESS, wapinzania waseme wao wangeufanya vipi mchakato wa kuandaa katiba ili tulinganishe na huu wa sasa.