CHADEMA iseme inataka nini kwa Wabunge 19 Viti Maalum

Nje ya mada, ni kuwa mimi sijui hesabu au, maana Nyalandu anasema alipata kura 30 sawa na 100% ya kura zote. Hizo kura 24 za Tundu Lissu zilitoka wapi?
 
Kama vile kuna ka-ukweli hivi!
 
Nje ya mada, ni kuwa mimi sijui hesabu au, maana Nyalandu anasema alipata kura 30 sawa na 100% ya kura zote. Hizo kura 24 za Tundu Lissu zilitoka wapi?
Tundu Lissu hawezi jibu hili swali kwani akijaribu yatakayo mkuta yanafurahisha
 
hivi hii kitu ina ukweli ndani yake? Kuwa vigogo wa chama walikuwa wakitoa km hisani hizi nafasi.
 
Lissu hawezi kukaa kimya, atamjibu Nyalandu na hayo majibu ninayasubiri kwa hamu kubwa.
Sipati picha ungekuwa miongoni mwa 19 walio bungeni halafu unaona km tonge linataka kupokonywa kirahisi kiasi hiki
 
Chadema ni wakora wabobezi ,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,kifupi ni janga la taifa
 
Sio CHADEMA waseme, sisi wananchi hatutaki hela zetu zitumike kinyume na katiba ya nchi yetu.

Kama CHADEMA wanafigisu zao na COVID-19 waende wakazimalize kisha warudi kutupa mrejesho ila sio kwa uamuzi wa spika kutumia kodi zetu kinyume na katiba.
 
Katika hao wabunge wa Chadema Ndugai hana nyumba ndogo kweli?,maana sio kwa mishipa ya shingo inayomtoka kuwatetea.
Kumbe huko chadema hizi nafasi huwa zinatolewa kwa small house? Asante kwa kuweka hadharani siri tusioyoijua!
 
BAWACHA wamemzidi maarifa baba mwenye nyumba na waandamizi wake
Mwenye kigoda aka "mwenye nyumba" kapandikiza wanywa gongo humu ili wamchafue Halima Mdee lkn kwa bahati nzur au mbaya mwenye kigoda na wanywa gongo wake wanaonekana kushindwa mbinu za kivita na shujaa Mdee
 
Mbona naona kama hujui chochote kile?
huyu mtoa mada hajielewi alafu anauliza majibu anajijibu kisha aelewi anachojibu, hivi wewe unaona wametokana na chama gani na wamepitishwa na nani mpaka kuwa wabunge wa kuteuliwa?mbona macho na masikio unayo?kwanini unasumbua watu watafakari andishi lako?sisi kama chadema hatuwatambui elewa hivyo
 
Mwenye kigoda aka "mwenye nyumba" kapandikiza wanywa gongo humu ili wamchafue Halima Mdee lkn kwa bahati nzur au mbaya mwenye kigoda na wanywa gongo wake wanaonekana kushindwa mbinu za kivita na shujaa Mdee
๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ umenifanya nicheke sana mkuu..... Umenikumbusha story za kutekwa yowe nchi nzima kujathibitika kumbe faru John kafanya yake.

Kwa hali hii hawa jamaa wakiingia Bongo movie wataikuza sana hii industry hata kuwapiku hollywood!
 
Sio CHADEMA waseme, sisi wananchi hatutaki hela zetu zitumike kinyume na katiba ya nchi yetu.

Kama CHADEMA wanafigisu zao na COVID-19 waende wakazimalize kisha warudi kutupa mrejesho ila sio kwa uamuzi wa spika kutumia kodi zetu kinyume na katiba.
Hivi kweli mkuu unaionea uchungu kodi yako au unaona uchungu sababu hawa BAWACHA wanavuta mpunga wakati mwenyekiti ana sintofahamu akilini mwake!
 
Majibu mengine yapo hapa:
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ