CHADEMA iseme inataka nini kwa Wabunge 19 Viti Maalum

Vizuri kama hamuwatambui hao kuwa wanachama wenu swali langu kwako je mnalitambua bunge na mnatambua mchakato mzima wa uchaguzi wa 2020 kuwa ni halali?
 
Vizuri kama hamuwatambui hao kuwa wanachama wenu swali langu kwako je mnalitambua bunge na mnatambua mchakato mzima wa uchaguzi wa 2020 kuwa ni halali?
Kwa madai yao hawatambui matokeo ya uchaguzi 2020 ila wamepeleka barua bungeni kuwavua wanachama wao 19 uanachama. Sasa bunge ili lilitokana na uchaguzi wa mwaka gani kama sii wa 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…