Uchaguzi 2020 CHADEMA isisahau viunga vya miji

lissu siyo wakuzungumzia tena kwa kuwa atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi,angegombea udiwani tu kwa kuwa hata ubunge asingemuweza comrade Miraji Mtaturu
 
Dah umeona eh!

Strategy ya kampeni ya Magufuli ya kupiga hadi ndani ndani vitongojini ni more effective kuliko ya kutegemea City/Town centers ambayo Chadema wanatumia
Siyo bahati mbaya na ni afadhali waendelee na hiyo strategy kwa sababu wakienda pembezoni mwitikio ni mdogo mno, inaweza kuwafanya wakate tamaa, so kutumia miji inaweza kuwabeba ma kuwafanya waendelee kusikika, then hako ka vibe ka town centers ndiko washuke nako kwenye vijiji.
 
Wapiga kura wengi wenye kuelewa wako mijini
 
Hii ya nyumba kwa nyumba ni muhimu zaidi, wawe kama wakala wa makampuni ya simu
 
Anachokifanya Magufuli ni kufuta nyayo za Tundu kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…