Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha