Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Yote Tisa kumi Mil 50 kila kijiji ndo tunzitaka bila kusahau viwanda mlivyotuhaidi.
Kwani mtashiriki uchaguzi?Nasikia kesho kwenye mkesha wa kuiaga corona umepewa nafasi ya kuwa mgawa kashata
In God we Trust
Chakubanga ni nani hapo chadema?Kamuulize chakubanga
In God we Trust
Agenda hii umeileta mapema mno. Subiri tu hoja italetwa ndugu. Wakati ukuta ukipigana nao utaumiaNdugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huyo ndio anapaswa kujibu maswali ya kama chadema mtashiriki uchaguzi ama la?Wacha kujiondoa ufahamu wewe kwani anayekulipa buku 7 hapo lumumba anaitwaje?
In God we Trust
Hapo watapatikana wajaribu waone yawakute kama yaliyo mkuta mpem ba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao uwaulize leo zamu ya nani kutukanwa utakumbana na mziki wake lakin mambo ya maendeleo kwakweli hamna kitu ni viazi kichwaniChadema sanyingine wanamaamuzi ya kijinga... Waligomea serikali za mitaa kijinga na uchaguzi huu bila tume huru hali itakuwa mbaya. Inafaa wajifunze siasa za demokrasia ya kistaarabu na kimaendeleo.
-Kilakitu wanapinga na elimu zao ndooogo kabisa.
- hawafanyi cha maana (hata mafuriko majimboni mwao hawaendi kusaidia) kisa eti hawakusanyi kodi wao nikula na familia zao.
- wanahitajika lkn hawajielewi,hawajengi maelewano na maridhiano no mipasuko na madharau.
- wanachafua/kutusi watu bila ushahidi kisa wapande kisiasa,walimfanyia hivyo lowassa badae wakala matapishi na hata kinana mpaka kumwomba radhi sasa sijui wanamtaka chamani.
- hawasimamii jambo wakafanikisha mf. katiba,tume ya uchaguzi nk.
Chama kitaanguka vibaya hiki inabidi kijivue gamba kibadilike lasivyo kitapotea kama CUF!!
PumbaNdugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya Corona.
Itakuwa sio vema kabisa Chadema kushiriki kampeni za uchaguzi wakati wana ushahidi kuwa "watu wanakufa na kuzikwa usiku"
Itapendeza wakitumia kipindi cha kampeni kuhamasisha wananchi kupitia mitandao ya kijamii wakae ndani hadi pale WHO watakaposema dunia haina Corona.
Wakati wa Chadema kuishi yale wanayoyaamini ni sasa si kesho.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka kupata umaarufu kupitia matusi na kudhalilisha watu,niujinga mkubwa ndio maana Magu anawanyoosha bungeni wafukuzwe wakija huku nje anadili nao sasa wameanza kunyooka wanatikana kwenye kompyuta pumbaffff!!Hao uwaulize leo zamu ya nani kutukanwa utakumbana na mziki wake lakin mambo ya maendeleo kwakweli hamna kitu ni viazi kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajielewi nahisi wanaongozwa na mihemkoWanataka kupata umaarufu kupitia matusi na kudhalilisha watu,niujinga mkubwa ndio maana Magu anawanyoosha bungeni wafukuzwe wakija huku nje anadili nao sasa wameanza kunyooka wanatikana kwenye kompyuta pumbaffff!!
MTU mchungaji anamsingizis MTU uongo mkubwa miaka yoote mpaka kastaafu ndipo anaomba eti msamaha... Mnafki mkubwa! Nadhani wanafikia mwisho watabadilika sasa
Laiti ungelidai zile B8 ningelikuona una busara na mpigania demokrasia wa kweli.Yote Tisa kumi Mil 50 kila kijiji ndio tunazitaka bila kusahau viwanda mlivyotuhaidi.
Jibu swali mtashiriki uchaguzi? Na nani atakuwa mgombea wa urais kupitia Chadema?Kamuulize chakubanga
In God we Trust