Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Wishful thinking, mwana maghamba fisadi aliye temwa na CCM ni wa CCM kwa watu waelewa CCM imeoza kwa wote waliomo haifai kuchaguliwa na wana Igunga!!!!!!!!!!!Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa kutosha wakati ccm itatumia madiwani wake 24 ili kushinda katika mchakato huo! Kwa sababu madiwani wa ccm wanakubalika kwa wananchi! je kama wananchi wanamkubali diwani wa ccm ina maana hata mgombea wa ccm ndiye atakayeshinda tena kwa kuraw nyingi
Wishful thinking, mwana maghamba fisadi aliye temwa na CCM ni wa CCM kwa watu waelewa CCM imeoza kwa wote waliomo haifai kuchaguliwa na wana Igunga!!!!!!!!!!!
yaani madiwani wa ccm watatumika kuwashawish wapiga kura kwa vyovyote vile wakianza kugawa chakula ijumaa na hatimaye ushindilakini mkuu wakati mwingine tusome mada na kufikiri je ni kweli cdm haina madiwani wa kutosha??tunaomba hili liwekwe peupe
green guard.................chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa kutosha wakati ccm itatumia madiwani wake 24 ili kushinda katika mchakato huo! Kwa sababu madiwani wa ccm wanakubalika kwa wananchi! Je kama wananchi wanamkubali diwani wa ccm ina maana hata mgombea wa ccm ndiye atakayeshinda tena kwa kuraw nyingi
Hii analysis imekaa ki bakwata bakwata
yaani madiwani wa ccm watatumika kuwashawish wapiga kura kwa vyovyote vile wakianza kugawa chakula ijumaa na hatimaye ushindi