Pre GE2025 CHADEMA itaendelea kuwa chama kidogo kwa CCM milele

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani unatawaliwa au inaongozwa. Sisi tunataka viongozi siyo watawala tu. Halafu Chadema wenyewe wanataka kuongoza watu wanaojitambua siyo kama wewe. Umeshauzwa muda sana chenji tu ndo inasubiriwa halafu haujielewi. Yawezekana hata wewe umepewa Pikipiki halafu haujui imetokana na pesa kutoka wapi unachekelea tu kupiga misele.
 
Sitoichagua chadema milele
 
Utajisumbua sana. Chawa kachara wewe. Mbowe is here to stay mpaka hapo tutakapoona kuwa hakuna dictatoril regime. Kanywe sumu ufe au kamuua huyo anayekuzaa maana naye amekaa sana duniani
Sitoichagua chadema milele
 
CCM kila siku ni kumwogopa mtu mmoja tu Mbowe.
 
Umemaliza au bado. Kama umemaliza geuza upande wa pili wa kila ulichoeleza. Tunakukusanyia clip za viongozi wako wa CCM kuanzia juu Taifa mwenyekiti wako aliyeruhusu kula Kwa urefu wa kamba, wizi wa kura- Nape, sauti ya Bashiru, Mwenyekiti wa vijana Ngara- kupoteza watu, na wengine na mengine. Halafu useme CCM ni safi au la! Halafu na wewe ulete hizo clip za rushwa ya Chadema na mengine wananchi tuchambue. Anayeongoza na anayetafuta kuongoza na vitendo tunavyotendewa.
 
Chama hiki kishajifia maana maandamano tu wamefeli mikutano wanajaa watoto
Faida ya maandamano:- 1. Mitambo ya umeme iliwashwa haraka sana, hatuuziwi tena generator na mafuta kupanda hovyo. 2. Sukari ilitafutwa mpaka Brazil na muda wa mavuno ilikuwa bado na ilioatikana.
 
Chadema ni li chama baada ya uchaguzi wafanye reform kubwa ikibidi wapate wasomi wakifanyie tafiti maeneo ya kifanyia transformation ie katiba,kanuni mifumo, na sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…