CHADEMA itakosekana katika orodha ya kihistoria ya wajenzi wa Ikulu

CHADEMA itakosekana katika orodha ya kihistoria ya wajenzi wa Ikulu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!

Nyie simmetoa mil 50 kila kijiji
Nakujenga viwondor 100 kila mkoa
 
Bado wanasikilizia maumivu ya kuanguka kwenye ngazi...
 
Hao wabunge na viongozi mlio wachukuwa kutoka Chadema na kuwapa madaraka hawawatoshi au mpaka mumchukuwe Mbowe ndio mtaridhika?
 
Mwenyejiti bado hajapona mguu, yet majanga ya dogo kuanguka club. Hizi pombe mbona imeiandama familia ya Mbowe tu? Mwaka wa shwetain kwa Mwamba. Tumwombee ajirudi kwa Mola!! 8B aliyoitafuna inatosha.
 
Fedha zilizotumika kujenga ikulu ni pesa za walipa kodi ikiwemo wanachadema. Hivi kuna kushiriki kujenga ikulu zaidi ya huko?
 
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!

Kwani hiyo ikulu inajengwa na vyama/wanachama wa vyama au kuna wakandarasi/mafundi waliopewa hiyo tenda ya ujenzi na wanalipwa kwa fedha za serikali? Je watalipwa?
Sasa kama kuna wajenzi, itakuwaje mtu mwingine aingilie kujenga? Tatizo likitokea ni nani alaumiwe?

Au nataka kutuambia pesa zimeshapigwa hivyo kunatumika mbinu ya kujitolea ili ujenzi ukamilike
 
Mambo mnayoifanyia chadema ndio yatakayoifanya iikalie hiyo ikulu kwa kipindi kirefu Sana.
 
Kwa vitendo utaona kua maendeleo yana vyama na yana ukanda pia ambacho hakina chama ni UDIKTETA ambao sasa ccm wanaufeel utamu wake.......
 
Sherehe ya kujenga ikulu ingekua ni sherehe ya kitaifa na sio ya kichama. Hapa mimi ningetegemea waalikwa wangekuua wananchi wa kila Aina. Wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, viongozi wa kidini hata wasio na dini. Nk. Na ingekuwa hairuhusiwi kuvaa sare za vyama maana Ikulu imejengwa na sisi wananchi wote kwa kodi na tozo mbalimbali.

Uccm au Uchadema ni roho ya kibaguzi juu ya wananchi wengine. Mungu JENGA Taifa lenye mshikamano na futa mbali roho za utengano ndani ya Taifa hili!!
 
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!
Duh! Wakati mwingine kupambana ili uwe na thread nyingi JF, unaweza kugeuka kinyago!
 
Ikulu ijengwe na walipa kodi wa Tanzania,harafu CCM wanajimirikisha akati wao ndo mabingwa wa kukwepa kodi
 
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!
Kuna mengi sana ya kufanya nchi kwani ccm walihudhuria ujenzi wa ikulu ya Magogoni mwaka 1890?
 
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.

Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.

Maendeleo hayana vyama!
Siku chadema itakapo kamata dola, na rais kukaa ikulu Chamwino - watakuwa kila mara wanasema ikulu hii ilijengwa na CCM na ya mwanzo dar es salaam ilijengwa na wajerumani, waingereza na kumaliziwa pia na CCM.
 
Back
Top Bottom