johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.
Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.
Maendeleo hayana vyama!
Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.
Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.
Maendeleo hayana vyama!
Duh! Wakati mwingine kupambana ili uwe na thread nyingi JF, unaweza kugeuka kinyago!Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.
Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Endelea kukariri!Duh! Wakati mwingine kupambana ili uwe na thread nyingi JF, unaweza kugeuka kinyago!
Inaongezeka jero kwa kila post 640 atakazopost weekend.Naona Lumumba buku 7 mnafanya kazi na weekend kutafuta overtime
Kuna mengi sana ya kufanya nchi kwani ccm walihudhuria ujenzi wa ikulu ya Magogoni mwaka 1890?Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.
Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.
Maendeleo hayana vyama!
Siku chadema itakapo kamata dola, na rais kukaa ikulu Chamwino - watakuwa kila mara wanasema ikulu hii ilijengwa na CCM na ya mwanzo dar es salaam ilijengwa na wajerumani, waingereza na kumaliziwa pia na CCM.Katika orodha ya kihistoria ya walioshiriki ujenzi wa Ikulu chama cha Chadema hakitakuwemo.
Hii ni kwa sababu wameshindwa kuhudhuria mkutano mkuu wa CCM na yale yaliyofuatia.
Maendeleo hayana vyama!