Hakuna haja ya CDM kutangaza uadui!
Adui huwa anajitangaza mwenyewe kama CCM wafanyavyo sasa.
Wanatoa ahadi za uwongo, ufisadi, kuchonga kesi uongo dhidi ya viongozi wa CDM, Lusinde kwa sana majukwaani, polisi wa ccm kuuwa raia bila hatia, kuiba kura, umeme wa shida, mfumuko wa bei, n.k.
Inatosha kabisa kuwa adui kwa wapenda haki chalii wangu!