johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hamna Upinzani mnakesha mnazurura nchi nzima kuwadanganya Wadanganyika?Twenty twenty hamna upinzani ni mwendo wa kupita bila kupingwa chadema hawatajisumbua kupoteza muda na fedha
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.
Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini tu.
Maendeleo hayana vyama!
Uko sahihi mkuuTwenty twenty hamna upinzani ni mwendo wa kupita bila kupingwa chadema hawatajisumbua kupoteza muda na fedha
Kilichompata akirudi humu atakuwa amebadili dini.Kawe alumni yu wapi siku hizi?
Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa.
Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini tu.
Maendeleo hayana vyama
Ushauri wako no Nini sasa?
Chadema wajikite zaidi kwenye majimbo ya Mbeya mjini, Iringa mjini na Mikumi, Tarime vijijini na Tarime mjini.....wakiwapata hawa wabunge watano wanatosha.
Alipatwa na kimbunga gani?