Mndeme jeremia
Member
- Feb 11, 2020
- 5
- 2
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Serekali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Tarehe 27 Novemba Mwaka huu. Baada ya tafakuri ya kina, Kuna swali moja kubwa nimejiuliza kuhusu CHADEMA(Chama cha Demokrasia na Maendeleo).
1. JE NINYI NI WAUMINI WA ITIKADI GANI?
Pamoja na mafanikio makubwa kisiasa katikA Miongo miwili ya karibuni, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshindwa kuonyesha ni itikadi gani wanayoisimami, zaidi kimekua Chama cha Kuzungumzia Matukio zaidi.
Ukisema wanaamini katika Demokrasia,, hii haitoshi kuaminisha ni kweli endapo watashika dola watakuwa waumini wa Demokrasia na uhuru wa Watu?
Mathalani kupitia Makamo wao Kwenyekiti, alinukuliwa akikiri KUTAPAKAA kwa RUSHWA kwenye uchaguzi wa Ndani ys Chama, japo Mh Makamu hakuenda mbali kutoa ufafanuzi ila kauli hii tosha imekua mwiba kwenye kuitafsiri hasa itikadi wanayosimamia Chadema.