Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Mkuu ukiona mpinzani wako nakushauri urevisit au review maamuzi yako, fikiria mara mbili, hatimaye endelea na maamuzi yako. Ujue upo sahihi na asubuhi haipo mbali!!!Mimi ninaamini siasa ni dynamic kwa haya yanayoendelea kwenye CHADEMA mara watu kukamatwa, mara kutekwa, mara kutenguliwa kamati na seccretariat na kesi ya Lisu,G55nk kuna haja ya kurevisit mbinu zenu.
Nashauri Makamu Mwenyekiti chukua initiative uitishe kikao cha jopo la watu kama 30 la wataalam, wazee wenye hekima na wawepo wajumbe wa kamati kuu ili kujadili a way forward badala ya kug'aka tu kuwa kama wanataka kufuta chama wafute.
Hapa Busara, Hekima, uchambuzi na mbinu za kukwepa mishale inahitajika kwa hatua hii, hii iundwe. Tafuteni pesa hata kama ni Tone Tone. mkishamaliza kikao endeleeni na ziara za no reform no election. Mambo yote ni muhimu kufanyika kwa pamoja.
Kwanini hijiulizi wale wapambe wote wa Mwamba hawajihusishi ma chama na wala hawapati msukosuko? Mnatuona watoto wadogo na michezo hiiMimi ninaamini siasa ni dynamic kwa haya yanayoendelea kwenye CHADEMA mara watu kukamatwa, mara kutekwa, mara kutenguliwa kamati na seccretariat na kesi ya Lisu,G55nk kuna haja ya kurevisit mbinu zenu.
Nashauri Makamu Mwenyekiti chukua initiative uitishe kikao cha jopo la watu kama 30 la wataalam, wazee wenye hekima na wawepo wajumbe wa kamati kuu ili kujadili a way forward badala ya kug'aka tu kuwa kama wanataka kufuta chama wafute.
Hapa Busara, Hekima, uchambuzi na mbinu za kukwepa mishale inahitajika kwa hatua hii, hii iundwe. Tafuteni pesa hata kama ni Tone Tone. mkishamaliza kikao endeleeni na ziara za no reform no election. Mambo yote ni muhimu kufanyika kwa pamoja.
Mimi ninaamini siasa ni dynamic kwa haya yanayoendelea kwenye CHADEMA mara watu kukamatwa, mara kutekwa, mara kutenguliwa kamati na seccretariat na kesi ya Lisu,G55nk kuna haja ya kurevisit mbinu zenu.