Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Kama picha inavyoonyesha hapo chini Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe na kundi lake wakitoka Mahakamani ambapo bado wanapambana na Serikali mpka leo hii kuhusu Mazisihi ya Bw.Mawazo, sijui ni siku ya ngapi leo hii tangu kufariki kwake!
Sasa najiuliza huyu Mbowe ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama kilichoshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu hana kazi nyingine muhimu ya kufanya zaidi ya kupigania mazishi? Huko CHADEMA kila kitu kiko sawa?
Hivi hali ingekuwaje kama nguvu hii ya kupigania mazishi angeiwekeza kwenye kupinga Posho wanazolipwa Wabunge ambayo ni laki tatu (300 000) kwa siku huko Mahakamani ili fedha inayobaki iwekezwe kwenye kutatua matatizo ya Wananchi?