Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umefungwa rasmi leo Agosti 17, 2026, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo Dar es Salaam.
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ameiambia mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi uliotolewa, Jamhuri imeona mashahidi 17 waliotoa ushahidi wanatosha kuthibitisha hoja zao.
Lissu ameeleza kuwa hana pingamizi na uamuzi huo, huku Jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru likikubaliana na hoja ya upande wa Jamhuri.
Awali, Jamhuri ilikuwa na jumla ya mashahidi 30, lakini ilieleza kuwa haitalazimika kuwaita wote, bali itatumia wale itakaoona wanatosha kukamilisha ushahidi wake.
====
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Maria Sarungi kupitia mtandao wa X muda mfupi uliopita.
Taarifa hii imeambatanishwa na video inayomuontesha Tundu Lissu akizungusha mikono kama ishara ya ushindi.
Tusubiri taarifa kamili.
======
Leo Agosti 17, 2026
Last time tuliishia part 244 so leo tunaendelea na -;
Part 245
Wanaingia mawakili wa Serikali,
Then kaingia Mhe. Lissu akiwa anasindikizwa na kundi la askari magereza wapo wengi kama kawaida yao.
Mhe. Lissu kaingia na vibe la kutosha na Wanachama na Wananchi waliojitokeza Mahakamani wanapiga makofi mengi ya shangwe.
Imepigwa High Cooooooourt...
Majaji wanaingia, wapo watatu wakiongozwa na Jaji Ndunguru, wanaketi kwenye viti vyao.
Karani anasoma case no . —- Jamhuri Vs Tundu Antipas Lissu
Anasimama Wakili wa serikali anatambulisha jopo la Mawakili wa Serikali na mtuhumiwa Mhe. Lissu
Wakili wa Serikali anasema wana maombi mawili ambayo wanaomba kuyawasilisha;
Jaji anasema tuendelee
Wakili wa Serikali anasema maombi hayo atawasilisha wakili Katuga.
Wakili wa Serikali -Katuga anasema Waheshimiwa majaji upande wa Jamhuri tunamaombi mawili
1.Baada ya kupitia ushahidi ambao umeshatolewa hapa Mahakamani na mashahidi waliobaki, baada ya kuangalia agreed facts, upande wa Jamhuri unaona ni ushahidi toshelezi, hivyo tunaitaarifu Mahakama kuwa Upande wa Jamhuri unafunga ushahidi wake na kwamba tunaomba imark kwamba upande wa Jamhuri unafunga case yake.
2. Ingawa hakuna kifungu kinaonyesha majumuisho ya no case to answer, mimi naliita kuwa ni kosa ambalo siyo kosa zoefu hasa kwajinsi tunavyomtuhumu mtuhumiwa kulicommitt, hivyo tunaomba tufanye submission ya no case to answer.
Jaji Ndunguru anamuuliza Mshtakiwa kama anachokusema?
Mhe Lissu: Kwanza kuhusiana na kufunga kesi kwa upande wa mashtaka, hilo sina shida nalo nilisema toka wiki iliyopita tayari wameshakata pumzi.
Watu wanacheka 😂😂😂😂
Kuhusu ombi la pili, Wakili Katuga anasema kuwa japo hakuna kifungu, mimi nasema kifungu kipo pale ambapo ushahidi wa upande wa mashtaka umefungwa, na kwamba pale ambapo Mahakama inaona hakuna kosa ambalo mtuhumiwa ametuhumia nalo then Mahakama husikiliza pande zote mbili kama kuna kesi ya kujibu au la, kifungu cha 312 (1) cha sheria ya mwenendo wa mashtaka, naomba nikisome
(anasoma...)
Hivyo Waheshimiwa Majaji, kwa practice mtuhumiwa ndiye anayeanza kuwasilisha hoja za kama ana kesi ya kujibu au la, mimi niko tayari kuanza Waheshimiwa.