CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

City Thunder OKC

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2025
Posts
6,655
Reaction score
13,097
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao

Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni kamanda wa anga lakini kwa sasa hivi ameamua kuwaonyesha rangi halisi baada ya kumuondoa kwenye biashara yake ya siasa. Huyo mzee ni mhuni na tapeli wa siasa mkubwa sana mlichelewa kujua, mshukuruni Lissu.

Baada ya jengo la mikocheni jiandaeni na magari pia kuchukuliwa.
 
Ndoto za Alinacha hizo ,haya yote ni kwa muda tu ,lakini yatapita
 
Kwamba unalichukua uwape Zanzibar? Kesi uchwara inataka nini na wewe unauliza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…