CHADEMA jengo lenu la Makao Makuu litachukuliwa?!!

Muache kuua watu
Ivi kwa akili ndogo ya mtu asiye na ELIMU yeyote LAYMAN.

Ivi una apparatus tools ZOTEEE una jeshi una resources ZOTEEE unashindwa kutambua uharifuuu kweli??
EMBU waleteni SCOTLAND YARD muone mnavyo haibikaa..

CCM ndio janga ukiondoa UJINGA, UMASKINI NA MARADHI.. Nyinyi ndio mmesababisha majanga yootee
 
Kauli yako kuwa watu wanyamazishwe milele inakubana. Dr wa mchongo jifunze ku-comment bila mihemko.
 
Kauli yako kuwa watu wanyamazishwe milele inakubana. Dr wa mchongo jifunze ku-comment bila mihemko.
Kama mnavyo wanyamazisha watanzania werevu ambao wamekua wakiwapa wasiwasi wa matumbo yenu na wanao watuma.. Still unatetea ujinga kichwani mwako umejaza kujipendekeza, ubwege,uzandiki,usakatonge na ujinga.

Ukisema Mimi doctor wa mchongo MANENO YAKO SIO TRAFFIC LIGHT 🚦 HIVYO HAYANISIMAMISHI KWENYE JAM.
 
Amejenga Mbowe huyo mnyaturu jinga ataifanya chadomo maskini wa kutupwa
 
Dr uliandikiwa na mtu comment yako ya kutaka watu wauwawe?
 
Sii ajabu,kwani wanaohujumu hiki chama cha kizalendo wana wivu,mwingi na hasira juu ya hiki chama cha kizalendo na mkombozi tarajiwa dhidi ya makucha ya mkoloni mweusi wa ccm.
 
Sii ajabu,kwani wanaohujumu hiki chama cha kizalendo wana wivu,mwingi na hasira juu ya hiki chama cha kizalendo na mkombozi tarajiwa dhidi ya makucha ya mkoloni mweusi wa ccm.
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…