MSHAURI_WA_NCHI
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 139
- 73
Utumbuaji majipu hautaishia serikalini, wakwepa kodi, walanguzi, wahujumu uchumi, madawa ya kulevya, meno ya tembo na wavamizi Wa maeneo yaliyotengwa kisheria tu bali hata wanasiasa laghai, walarushwa, wanaoficha fedha ughaibuni na waongo wenyekufitinisha jamii nao wajiandae.
Habari ndo hiyo. Mjiandae kuzungusha mikono vizuri.
Hapa kazi tu.
Wale waovu wote lazima waisome tu hakuna kucheka na wahuni na wezi.
Jiwe gizani ngoja tuone anarudije kukujibuUmenena hapo Mkuu! Safari hii basi tunaanza mchezo na Chenge, Tibaijuka, Maswi na tunamalizia na Masaburi pamoja na Khalfani Kikwete!