CHADEMA jihadharini sana. Hatima ya chama iko mikononi mwa Mbowe

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Hali iliyopo ya uchaguzi tarehe 21.1.2025 inaweza kukiua chama ambacho ni tegemeo la watanzania upande wa upinzani.

Ni mbowe tu akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama chake na nchi atajua nini cha kufanya ili kukiacha salama chama chake na kikawa na nguvu zaidi.

Vinginevyo historia itamhukumu
 
Hali iliyopo ya uchaguzi tarehe 21.1.2025 inaweza kukiua chama ambacho ni yegemeo la watanzania upande wa upinzani. Ni mbowe tu.akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama chake na nchi.atajua nini cha kufanya ili kukiacha salama chama chake.
Mbowe ni Mwenyekiti full stop.Lissu aende Belgium 🇧🇪
 
Hali iliyopo ya uchaguzi tarehe 21.1.2025 inaweza kukiua chama ambacho ni tegemeo la watanzania upande wa upinzani.

Ni mbowe tu akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama chake na nchi atajua nini cha kufanya ili kukiacha salama chama chake na kikawa na nguvu zaidi.

Vinginevyo historia itamhukumu
Bila Mbowe hakuna future CDM.
 
Kwa fikra zangu LISU kiti hakimfai kwasasa kwasababu anajazba ya kuongea. Anapaswa kujifunza mengi sana kwa mwenyekiti wake. Akiona kitu hakikosaw anaongea kwa kupitiliza bila nukta nirahisi sana mtu km huyu kufanya maamuzi yakukurupuka. Watu wengi wanaomuona anafaa wanahisi atawaongoza vyema kwenye maamuzi magumu. Nikweli ila kwa asilimia kubwa tunafikiria mfano wa maandamano labda kudai kwa nguvu haki yetu. Watanzania wanahisi wanahitaji mtu km huyo. Muangalie HECHE au LEMA wakiongea mbele ya waandishi au akihojiwa ghafla halaf fananisha na press za LISU. Kuna utofauti mkubwa wa HEKIMA.
Ukweli nikwamba watanzania sisi niwaoga kupitiliza nnauhakika hakuna kauli ya kiongozi yoyote wa upinzan ataweza kutushawishi kudai haki kwa kutumia nguvu mfano maandamano.
Kuna wakati itafika tu mwisho na bila kauli ya kiongozi yoyote watu wataingia barabarani. Kwahyo km waTz tunaimani hili Lisu ataliweza tunapaswa tufikirie zaidi kupitia mfano wa maandamano ya juzijuzi yalioitishwa na FAM ila hatukuweza kutoka.

Watanzania hatuko tayari kwa lolote
Hatuko tayari kuambiwa fanya hili ila tutakuja kufanya bila kusukumwa na yoyote siku isiyokuwa na jina.
Wamuache FAM amalizie muda aliosema huku akiandaliwa mtu mwingine aidha huyo Lisu ama mwengine.
 
Mwenzio haelewi kashafunga ndoa na ccm na pesa zao kala
 
Kama yeye kaiweka mikononi sisi tutaibeba mgongoni
 
Mbowe ni Mwenyekiti full stop.Lissu aende Belgium 🇧🇪
Nimeiangalia ile press ya Leo ya wale wenyeviti nimeamini Lissu ana utoto mwingi sana!! Wamekazana kumwambia Mbowe ajitoe badala ya kujikita kwenye boksi la kura wanalojdai kuwa na namba Za kutosha 😀😀😀
 
mbowe tu akicheza vizuri siasa na akamtanguliza Mungu na maslahi ya chama chake na nchi atajua nini cha kufanya ili kukiacha salama chama chake na kikawa na nguvu zaidi.
Mbowe alilamba asali, kwa malipo ya kuiuwa chadema. Hivyo hawezi kurudi nyuma ktk anguko hili kama Yanga ilivyoanguka.
 
Kwa fikra zangu LISU kiti hakimfai kwasasa kwasababu anajazba ya kuongea. Anapaswa kujifunza mengi sana kwa mwenyekiti wake. Akiona kitu hakikosaw anaongea kwa kupitiliza bila nukta nirahisi sana mtu km huyu kufanya maamuzi yakukurupuka. Watu wengi wanaomuona anafaa wanahisi atawaongoza vyema kwenye maamuzi magumu. Nikweli ila kwa asilimia kubwa tunafikiria mfano wa maandamano labda kudai kwa nguvu haki yetu. Watanzania wanahisi wanahitaji mtu km huyo. Muangalie HECHE au LEMA wakiongea mbele ya waandishi au akihojiwa ghafla halaf fananisha na press za LISU. Kuna utofauti mkubwa wa HEKIMA.
Ukweli nikwamba watanzania sisi niwaoga kupitiliza nnauhakika hakuna kauli ya kiongozi yoyote wa upinzan ataweza kutushawishi kudai haki kwa kutumia nguvu mfano maandamano.
Kuna wakati itafika tu mwisho na bila kauli ya kiongozi yoyote watu wataingia barabarani. Kwahyo km waTz tunaimani hili Lisu ataliweza tunapaswa tufikirie zaidi kupitia mfano wa maandamano ya juzijuzi yalioitishwa na FAM ila hatukuweza kutoka.

Watanzania hatuko tayari kwa lolote
Hatuko tayari kuambiwa fanya hili ila tutakuja kufanya bila kusukumwa na yoyote siku isiyokuwa na jina.
Wamuache FAM amalizie muda aliosema huku akiandaliwa mtu mwingine aidha huyo Lisu ama mwengine.
Andishi refu lakini pumba tupu
 
Yeye mwenyewe akitishiwa nyau kidogo tu anakimbilia Ubelgiji
 
Back
Top Bottom