Msemo huu unawafaa zaidi Chadema... Ni wazi hujui unachoandika!Ukiyavulia maji nguo ni shurti uyaoge
sawa uyago na katika hali uliyo tegemea, yawe ya uvuguvugu au baridi kutokana na hali ya hewa ulipo? njombe twatembea na majiko yetu? na dipolomasi does not cost u anything other than ustaarabu? maana sisi tu waaarabu?Ukiyavulia maji nguo ni shurti uyaoge
Msemo huu unawafaa zaidi Chadema... Ni wazi hujui unachoandika!
Chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama ......., na kama wamechoka kuuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama wanacho ona kinafaa. iwe chadema, ccm, nccr, cuf tlp ni wao wenyewe waamue maana watanzania wanajua sera na vyama vinavyo gombea na ubore wenu au wao, play it wisely/diplomatically/carefully haina haja ya kutumia nguvu saaana kwa mtu anaye mlevi ambaye anaanguka mwenyewe, kwa nini kujitafutia kesi.
kuondoa malumbano kuharisha nilikuwa na maainisha kuhairisha sawa muzee upo? vujo niklijkuwa namaaanisha vujo upo hapo? kama haupo u can ring me again.Chadema Kaa mbali na Vujo , wameisha changanyikiwa wanataka kuharisha Uchaguzi
Angalia spelling za maneno uliyoyatumia katika heading
kuondoa malumbano kuharisha nilikuwa na maainisha kuhairisha sawa muzee upo? vujo niklijkuwa namaaanisha vujo upo hapo? kama haupo u can ring me again.
achante chanaa ndugu yangu wako ninaye ishi mchachaani katika bonge la mpunga
nashukuru kwa angalizo la fujooooooooooo, we muislamum/mkristo/mpagani safi karibu tena.Ok.....so na vujo umemaanisha fujo au hiyohiyo vujo????
Anyway thanx 4 alert......
chadema naomba saana sasa mkae mbale na fujo nk wanataka kusababisha machafuko ili wawe pake matope au kuharisha/kuhahirisha uchaguzi, na pia muwaulize wateja wenu wanataka kuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama ......., na kama wamechoka kuuuzwa na kuibiwa basi wapigie chama wanacho ona kinafaa. Iwe chadema, ccm, nccr, cuf tlp ni wao wenyewe waamue maana watanzania wanajua sera na vyama vinavyo gombea na ubore wenu au wao, play it wisely/diplomatically/carefully haina haja ya kutumia nguvu saaana kwa mtu anaye mlevi ambaye anaanguka mwenyewe, kwa nini kujitafutia kesi.
hiyo ni tafsiri yako ya mtu asiye na uenzo wa kufikiri, ukweli wa mambo ni kwamba kuna chama fulani chenye jina kubwa na uwezo wa mabadharuli ambao wange penda kutumia pesa na nafasi zao kuendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania, kwa hila na ubadharuli wao changanya na wako.kumbe munatumia nguvu kubwa saaana na kumbe ni kweli chadema huwa munaleta fujo!!! Mimi nilifikiria kuwa munazuliwa!! Basi kama mumeshakiri then mumetusaidia wadanganyika kumtambua ni nani anaetaka kumwaga damu yetu!!
Tunashukuru sana chadema kuwa mumeamua kukaa mbali na fujo hivyo tunategemea basi uchaguzi utakwenda vizuri ila nawakumbusha matokeo yakitoka na ikiwa mutashindwa basi mukubali matokeo na mumpongeze atakaeshinda kama ni TLP, NCCR, CUF au TPP-MAENDELEO nk. Hio ndio demokrasia sio mutuletee fujo siku hiyo tafadhalini!!!
hiyo ni tafsiri yako ya mtu asiye na uenzo wa kufikiri, ukweli wa mambo ni kwamba kuna chama fulani chenye jina kubwa na uwezo wa mabadharuli ambao wange penda kutumia pesa na nafasi zao kuendelea kuwanyonya na kuwaibia watanzania, kwa hila na ubadharuli wao changanya na wako.