CHADEMA kama mna ushirikiano na huyo Mkenya anayehimiza ulimaji na matumizi ya bangi ndio mnadhania 2025 mtapata hata udiwani?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.

Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo.

Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani atawahitaji? Bangi vuteni nyie peke yenu.
 
CCM ni chama kizuri lakini Kuna wafuasi wa Marehemu Magufuli Ni Kama Mbwa hawanaga hoja za msingi mfano wewe umeandika Nini hapo Juu Mimi napenda Sana mtu akiongea fact sio kama huyu chizi mnazidiwa Akili na Mama
 
Wewe mpumbavu? Hujui kusoma?
 
Mbona unaongea Kama umekatwa kichwa? Angalia stress zako usizilete CHADEMA.
 
CCM ni chama kizuri lakini Kuna wafuasi wa Marehemu Magufuli Ni Kama Mbwa hawanaga hoja za msingi mfano wewe umeandika Nini hapo Juu Mimi napenda Sana mtu akiongea fact sio kama huyu chizi mnazidiwa Akili na Mama
Kwani kosa la huya bwana ni nn?, na umejuaje kama mwandishi ni mshabiki wa magufuli? Au wewe ndio unamatatizo?
 
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.

Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo.

Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani atawahitaji? Bangi vuteni nyie peke yenu.
Magumashi alimshauri Profesa Mbarawa avute bangi ya Njombe ili aongoze wizara vizuri,ikimaanisha yeye Magumashi alikuwa anatumia kitu cha Njombe na huyo ndiye mungu wenu nyie Sukuma Gang. Hata mbunge Musukuma alipendekeza Bungeni uvutaji wa bangi uruhusiwe kwani huko usukumani inawasaidia sana kulima kwa bidii.
 
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.

Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo.

Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani atawahitaji? Bangi vuteni nyie peke yenu.
Mbona Bangi ilishatolewa kwenye category ya madaya ya kulevya na WHO. Bandi sasa hivi ni bidhaa na iko kwenye Stock Exchange ..... Tatizo wewe ukisikia Bangi akili yako inakupeleka kwenye kuvuta bangi. Bangi ina matumizi mengi zaidi ya hayo ..... kwa sasa Malawi na Swaziland wamesharuhusu kilimo cha bangi na tayari wanaexport zao la bangi Ulaya na USA .... Kalaga baho!!
 
Yaani mnataka nani mwenye akili timamu awaamini nyie kuwa mnaweza kuwa na nia njema na taifa hili?.

Juu ya kulinda rasilimali za taifa kama madini mlishakiri wazi kuwa mtawapa wazungu wafanywe watakavyo.

Leo hii mnashauriwa na wanaotaka vijana wa taifa hili waharibike kwa bangi. Nani atawahitaji? Bangi vuteni nyie peke yenu.
Pointless kwa maana habari haijakamilika.
 
CCM ni chama kizuri lakini Kuna wafuasi wa Marehemu Magufuli Ni Kama Mbwa hawanaga hoja za msingi mfano wewe umeandika Nini hapo Juu Mimi napenda Sana mtu akiongea fact sio kama huyu chizi mnazidiwa Akili na Mama
Mkuu humu nishawashauri san lkn hawasikii, mchunga ng'ombe always ni mchunga ng'ombe tu!! Umejionea mwenyew!!
 
Na yule Mh Dr. Fulani aliyetamka waziwazi bungeni bangi ilimwe na kabila Fulani wakiivuta wanalima sana, naye tuseme Nini juu yake? Na bado yupo mjengoni!!
 
Back
Top Bottom