Pole mkuu utuoneshe video tuone
Propagada huwa kuna video,mahita igp mstaafu ailiambiwa na watawala aseme propaganda hiyo,ikawa ya wakati huo na ikapita,
Henry kileo naye alikuwa na keai ya ugaidi Tabora imetungwa na akina mwigulu chemba ucjaguzi wa igunga,nayo ilikosa ushahidi ifafutwa ya Rwakatare enzi hiyo akiwa mkurugenzi wa usalama na ulizi wa chadema ,naye akatafutiwa keai ya ugaidi na akina mwigulu nchemba ,ikaunguruma kisutu,wakinasibu wanaushahidi tosha ,mwisho wa siju kesi inafutwa.
Propaganda kama hizo zilianzia nccr ya zamani inawabunge 49,wakaizima moka kukosa mbunge hata wa viti maalumu,mpaka leo angalia serikali ilivuoifanya cuf ipo tena na profesa lipumba?
Watawala kutumia Tiss ,wanaharakati zao za kuua mapambano ya haaki an demokrasi yanayosumvua utawala kudai haki,
Nyererw wa wabunge wa G19 aliamua kuwapa mavyeo watulie mara waziti mara mkuu wa mkoa amara Dc wakanyamaza kimya.
Ni zamu ya chadema,kuanzia kununua wabunge,madiwani,uchaguzi wa serikali za mita uchaguzi wa 2020 na sasa kesi ya ugaidi.
Hakuna kitu hapi ni kuua upinzani kinamna na hakuna video ya nn wao wametekeleza jukumu lao video ya nn