Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kesho una maana kubwa sana kwa Taifa letu.
Ni siku ambayo Historia ya siasa za upinzani Tanzania inakwenda kuandikwa.
CHADEMA wanakwenda kuamua ama kuendeleza siasa za upinzani au kuua kabisa.
Ukweli wa Mungu ni kwamba, kulingana na mazingira ya wakati huu kama wajumbe watamchagua Mbowe ni sawa kabisa na kuzika rasmi siasa za upinzani Nchini.
Lakini wajumbe wakimchagua Lissu ni kuwatendea haki Watanzania wengi wenye imani na CHADEMA. Ni kwenda kufufua matumaini mapya ya wafuasi na wakeleketwa wa CHADEMA.
Rai yangu ni kwamba, wajumbe wakapige kura kwa kuweka mbele maslahi ya chama na Watanzania kuliko maslahi ya mtu mmoja.
Naomba Mungu awape wajumbe roho wa hekima ili wakatende vile Watanzania wanavyotaka hasa kwa wakati wa sasa.