CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.

Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho.

Asanteni wote mliopaza sauti hatimaye msaidizi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Geita amepatikana ndani ya kituo Cha Polisi Chato.Viongozi wetu wanafuatilia na tutawapa taarifa za kina baadaye Kuhusu afya yake pia tutawajulisha .Naamini hata wakina Deus Soka watapatikana tuu .

Tukutane tarehe 23 Dar Kwa Maandamano ya Amani kama watakuwa hawajapatikana !

Soma Pia:

Screenshot 2024-09-20 211701.png
 
Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X.

Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho...
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah
 
Back
Top Bottom