mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ClipMoses Mgao, Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Kibaha Mjini amesema haya akiongea na waandishi wa habari
"Napenda kutangaza rasmi, sisi wanachama wa CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani na hasa watu wa Kibaha tumeamu tunakwenda kumpigia kura Mhe. Tundu Lissu awe Mwenyekiti wetu"