Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi.
Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo.
1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto halivumiliki. Amuzi Hili liwemo ndani ya wiki ya mwanzo ya Rais wa Chadema
2) Shirika la ndege kuanzisha safari za nje ya bara la Africa kwa bei poa maana waTanzania wengi wapo nje na wengi walio ndani ni wafanya biashara itakuwa wanajaa kuja na kurudi .
3) Ipeleke njia ya reli Kusini mwa Tanzania tena la umeme
4) Kuwasaka masikini na kuwasaidia
5) Kuwasafirisha wagonjwa waliothibitika wanahitaji matibabu nje ya nchi
Na ongezeeni ili tujue tunakokwenda sio hawa ambao Mwalimu Nyerere aliwapiga vita wazeme na wazululaji.