Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwani ana lazima ya kusema? Why Mbowe, kwani kuna mtu amem implicate in that saga? ttafuta ushahidi kwa huyo kama yupoWAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao wameshangazwa na ukimya wa kiongozi huyo pamoja na kutoshiriki shughuli za ujenzi wa chama.
Pia soma
Umeongea pointi leo.Kwani ana lazima ya kusema? Why Mbowe, kwani kuna mtu amem implicate in that saga? ttafuta ushahidi kwa huyo kama yupo
Kama hana "lazima ya kusema", acha wanao sema wajazie kwenye doti doti ambazo angepashwa kuzijazia yeye.Kwani ana lazima ya kusema? Why Mbowe, kwani kuna mtu amem implicate in that saga? ttafuta ushahidi kwa huyo kama yupo
Mlimtukana sana,yupo busy na biashara zake , anakaa Machame.WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao wameshangazwa na ukimya wa kiongozi huyo pamoja na kutoshiriki shughuli za ujenzi wa chama.
Pia soma
- Pre GE2025 - Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
- Pre GE2025 - VIDEO: Freeman Mbowe akitangaza agenda ya No reform No Elections, G55 Wanadhihirisha ule ulikuwa ni mchezo wa maigizo wa Mbowe