johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Vipi NCCR MAGEUZI, Mkuu......Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani.
Jimboni Kawe kwa mfano haijulikani ofisi za Chadema ziko wapi na kama una jambo utalazimika kwenda mtaa wa Ufipa kupata ufafanuzi au la ulilete hapa Jf ndio utajibiwa kwa haraka na akina mmawia.
Ingependeza kama Chadema mkafungua katawi kadogo hapa Jf ili taarifa mbalimbali tuzipatie hapa badala ya kuzifuata Ufipa.
Maendeleo hayana vyama!
Hah hah hahaa. Kama kingekuwa ni chama cha mtandaoni kweli mngekuwa mnaweweseka hivyo? Haipiti siku bila kuisema CHADEMA. Be serious bwashee!Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani.