Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa CHADEMA na it seems watu hawana mwamko na CHADEMA kwasababu hakuna mhamasishaji.
Erythrocyte
Erythrocyte
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo zuri, tatizo chadema hawafikirii kuwa na vitega uchumi wanataka watu wajitolee tu, utajitolea hadi lini?Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa chadema na it seems watu hawana mwamko na chadema kwa sababu hakuma mwamasishaji. Erythrocyte
Huu ndiyo ushauri wa kisomi. Tunataka kutibu maradhi makubwa ya mwili bila kwenda maabara! Chadema na ACT ni vyama vya mjini tu. Huko mitaani na vijijini havipo. Nimezunguka jana vituo kama kumi hakuna hata wakala wa Chadema. Huwa najiuliza hizi blaablaa za kuibiwa kura wanaozitoa wako Washington au Tanzania hii?Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa chadema na it seems watu hawana mwamko na chadema kwa sababu hakuma mwamasishaji. Erythrocyte
Wazembe wanataka watu wajitoleeHuu ndiyo ushauri wa kisomi. Tunataka kutibu maradhi makubwa ya mwili bila kwenda maabara! Chadema na ACT ni vyama vya mjini tu. Huko mitaani na vijijini havipo. Nimezunguka jana vituo kama kumi hakuna hata wakala wa Chadema. Huwa najiuliza hizi blaablaa za kuibiwa kura wanaozitoa wako Washington au Tanzania hii?
Hilo ndilo lq msingi wanatakiwa walijue ila hawana pesa,wenzao walinyanganya rasilimali za umma wakazipeleka chaman ili kuongeza kupato kwenye chama ndiyo maana wanatambaHi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa chadema na it seems watu hawana mwamko na chadema kwa sababu hakuma mwamasishaji. Erythrocyte
wanajua maana wana angalau mwenyekiti kila MkoaHoja yako ina mashiko, waambie ni kata gani hiyo.
UKAWA iliwezaje kuishinda ccm? Kinachohitajika kwenye siasa zetu ni Alliance kwenye uchaguzi.Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa chadema na it seems watu hawana mwamko na chadema kwa sababu hakuma mwamasishaji. Erythrocyte
Bado hamjasema ila leo umezungumza ukweli wako bila unafiki wala haya!Hi ni muhimu kuweza kuwafikia watu wengi hasa vijijini. Nasema hivyo kwa sababu Kata yangu hapakuwepo na mgombea wa CHADEMA na it seems watu hawana mwamko na CHADEMA kwasababu hakuna mhamasishaji.
Erythrocyte
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani huko kote kulikuwa na mawakala, lakini baada ya siasa chafu kuingia hakuna anayetaka kujiingiza matatizoni. Chama makini hujivunia ubora na si wingi. Wingi wa ccm hauchangiwi na ubora, bali sababu za kihistoria na katiba ya chama kimoja.Huu ndiyo ushauri wa kisomi. Tunataka kutibu maradhi makubwa ya mwili bila kwenda maabara! Chadema na ACT ni vyama vya mjini tu. Huko mitaani na vijijini havipo. Nimezunguka jana vituo kama kumi hakuna hata wakala wa Chadema. Huwa najiuliza hizi blaablaa za kuibiwa kura wanaozitoa wako Washington au Tanzania hii?
Mazingira ya uchaguzi ule hata kusingekuwa na alliance bado upinzani ungepata viti vingi hasa cdm. Baada ya kuingia chafu zilizoasisiwa na magufuli ndio hadi leo tunaona haya yanayoendelea.UKAWA iliwezaje kuishinda ccm? Kinachohitajika kwenye siasa zetu ni Alliance kwenye uchaguzi.