CHADEMA kuendelea kutumia ibada kumuombea Mbowe, kudai Katiba Mpya

Acha kupotosha watu kwa fikra nyepesi zisizo na mashiko,Ni sheria ipi au ni kifungu kipi katika katiba kinachozuia wabunge kuomba dua au wanachama wa vyama vya siasa kusali makanisani kuombea viongozi wao?
 
Acha kupotosha watu kwa fikra nyepesi zisizo na mashiko,Ni sheria ipi au ni kifungu kipi katika katiba kinachozuia wabunge kuomba dua au wanachama wa vyama vya siasa kusali makanisani kuombea viongozi wao???

Unajitoa ufahamu sio? Serikali, Bunge na Mahakama za Tanzania hazina dini, japo watu wake wana dini. They are agnostic state organs. Umelisahau hili?

Sheria ya vyama vya siasa inapiga marufuku kuanzisha chama cha kidini.

Viongozi wa chama cha siasa Kwenda makanisani/misikitini kuombea sera na programu zao ni kutumia dini kufanya siasa. Hulioni hili? Acha kujitoa ufahamu.
 
Just go straight,nimekuomba unitajie sheria au section ya katiba ambayo inakataza expressly wanachama wa chama cha siasa kuwaombea viongozi wao au wabunge kuomba dua bungeni.Simple as that.
 
Sijawahi kuona mtu mwenye akili na maswali ya kitoto kama wewe,Magufuli au mbowe akienda kanisani au msikitini kusali ndiyo kwamba CCM au CDM vinageuka kuwa vyama vya kidini? what a foolish argument.
 
Mbona hamsemi kwamba kamata kamata ya wanachama wa Chadema na police ndo inalipeleka taifa pabaya? Leo watu wanaoenda kanisani kusali na walipeleke taifa kubaya, haya ni matusi
 
Mbona hamsemi kwamba kamata kamata ya wanachama wa Chadema na police ndo inalipeleka taifa pabaya? Leo watu wanaoenda kanisani kusali na walipeleke taifa kubaya, haya ni matusi
Hawaendi kusali wanaenda kudai katiba mpya kwa kutumia makanisa ya kikristo. Wanaenda kujadili kesi iliyoko mahakamani kwa kutumia makanisa ya kikristo
 
Sijawahi kuona mtu mwenye akili na maswali ya kitoto kama wewe,Magufuli au mbowe akienda kanisani au msikitini kusali ndiyo kwamba CCM au CDM vinageuka kuwa vyama vya kidini? what a foolish argument.
Tunajuwa na kuna utajiri wa kumbukumbu kuwa anapotawala rais muislamu makanisa ya kikiristo hasa KKKT NA RC yanaanza chokochoko za kijinga
 
Hawaendi kusali wanaenda kudai katiba mpya kwa kutumia makanisa ya kikristo. Wanaenda kujadili kesi iliyoko mahakamani kwa kutumia makanisa ya kikristo
Kanisa lipi walienda wakajadilia kesi iliyopo mahakamani? otherwise utakuwa unaongea rubbish
 
Hawaendi kusali wanaenda kudai katiba mpya kwa kutumia makanisa ya kikristo. Wanaenda kujadili kesi iliyoko mahakamani kwa kutumia makanisa ya kikristo
Kama wanasema wanasema na mungu wao juu ya hayo uliyoyataja shida iko wapi , Sasa unataka waseme,watete na mungu wao wakiwa porin,? Sie wakiristu tunaamini Jambo lolote gum ,lazima kulielekeza mbele ya msalaba, na kumlilia Mungu Kama nalo ni kosa basi kawakamateni, maana ndo KAZI police wamebaki nayo kukamata,pekua nyumbani,KWa wanachadema,na nafikili inawalipa Sana, lazima hata posho zao zitakua zimeongezeka
 
Tunajuwa na kuna utajiri wa kumbukumbu kuwa anapotawala rais muislamu makanisa ya kikiristo hasa KKKT NA RC yanaanza chokochoko za kijinga
Msilete udini pitia mlango wa nyuma ili kubaliki ushetani unaofanywa, tz KWa kiongozi wa nchi hakuna kiongozi wa dini utasikia akioji ujinga huo, kinachotakiwa ni kiongozi kutenda haki, acheni kuleta udin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…