-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe
SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights
WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action
KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu
Nimeamini kuwa kuna ukaribu/uhusiano/umoja/ushirikiano kati ya Chadema na JF
kawaida sana mkuu!chedema ndio chama chetu vijana,taifa la kesho,marais wa kesho,mawaziri wa kesho.
we kama umetarget uongozi chukua kadi yako kesho.
anyways toa thenksi basi kwa 'useful post' usibane

kwa iyo unabisha?
wakati mwingine ni vigumu sana kujadili jambo na wapambe wa zitto.yeye amekubali ''kunata na biti'',lakini wapambe wanabisha!
sasa njoo kesho umuone atakuwa front-liner
Wale wanafiki na wanao tumia keyboard kuponda naamini hawatajitokeza kwani litakuwa pigo kwao kuona Mbunge mtarajiwa wa 2010 Zitto yupo mbele akihamasisha.
Mkoa unaoitwa Majita au Ukerewe kwa yule kiongozi mbunge aliyefanya madudu AUmkama shaka ondoa,
upo mkoa gani?
Nitajitahidi niwepo. Niko kilometa 5000 toka Dar ilipo lakini ni kitu ya muhimu kwa mshikamano wetu aiseeeee.-Dhima halisi ya maandamano ni ''mshikamano ndani ya chama''
-Maandamano yataanzia ofisi zao kuu kinondoni na kuishia mbezi beach
-Watakaoongoza maandamano:
M/Kiti Ndugu Mbowe
Katibu Mkuu Dk Slaa
Naibu katibu mkuu Mh Zitto Zuberi Kabwe
SOURCE:Nimeasikia wakitangaza kwa gari na spika nikiwa Morroko-traffic lights
WITO WANGU:Wakuu tulioko Dar na wanachama wa Chadema tukutane hapo,sio blah blah za keyboards tu.ukiwa maandamanoni gonga hapa +255774207300 ili nithibitishe kama wewe ni mutu ya action
KARIBUNI SANA JAMANI!naomba mkumbuke kuja na kadi zenu
Baba mkwe na wazee wanoko wenzie karuhusu kufanyika maandamano?
Asante kwakuahidi kuja, maana ni lazima tuendeleze umoja wetu, safari bado inaendelea, baada ya rabsha za hapa na pale, tunamambo mengi mazuri yanakuja, waungwana wote , tuipendayo Tanzania CHADEMA ndio kimbilio.Nitajitahidi niwepo. Niko kilometa 5000 toka Dar ilipo lakini ni kitu ya muhimu kwa mshikamano wetu aiseeeee.
Namkaribisha na junius, mwiba na mpaka kieleweke, karibuni tujenge mshikamano au vipi?