Pre GE2025 CHADEMA Kufanya Mikutano 105 kwa siku 21 tu Kanda ya Kaskazini, Lissu na Mbowe kuongoza Mashambulizi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumekuchaaaaa people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's people's
 
Mmepata wapi pesa ya kukodi chopa kutumia kwenye mikutano yoye hiyo
 
Kuna mikoa chadema haina kishindo na haijawahi kupata mbunge lkn hawaonekani kuweka nguvu huko.

Mikoa hiyo ni:- Ruvuma, Tanga, Tabora, Simiyu, Dodoma, Pwani, Lindi, Katavi na Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…