Yaani umewahi kuandika ungesebiri kidogo tu ungeona kaandika hayo ushabiki maandazi eti sasahivi anasema nchi haitawaliki nani kasema wakatileo tunapokea ndege yetu mpya
hahahaaaa mnapata tabu sana bavicha na kamanda wenuananyea debe sasahivihakuna uhusiano wowote kati ya kununua ndege na utawala bora acheni upumbavu nyie ccm
Mkuu hebu weka nyama zaidi kwenye hiin tuhuma ya Tshs. 10 Billion itatusaidia kuzidi kuzifahamu siasa zetu.Naamini John Mnyika yuko smart upstairs na ndiyo maana hajawai kuwa involved na Kash Kash za Polisi.
CHADEMA haina leadership iliyo sober zaidi ya Mnyika. Sitegemei kama ataleta kauli za eti maandamano ya kutaka kushinikiza Mbowe atoke.
Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kwa kutoka kwa Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa.
Muache atumikie laana ya Dr Slaa
aise!Naamini John Mnyika yuko smart upstairs na ndiyo maana hajawai kuwa involved na Kash Kash za Polisi.
CHADEMA haina leadership iliyo sober zaidi ya Mnyika. Sitegemei kama ataleta kauli za eti maandamano ya kutaka kushinikiza Mbowe atoke.
Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kwa kutoka kwa Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa.
Muache atumikie laana ya Dr Slaa
Kwani hii nchi kuna utawala wa sheria?Hawana cha kuongea sasa hivi wasubiri mahakama wakiendelea kuchokoza wanatengeneza makosa mengine Mbowe ndiyo kafika hapo
Lowassa hakuja bure CHADEMA bali alikuja kwa fedha yake ambbayo ni hiyo Tsh 10 Billion. Mkakati wa UPINZANI mwaka 2015 ilikuwa through UKAWA.Mkuu hebu weka nyama zaidi kwenye hiin tuhuma ya Tshs. 10 Billion itatusaidia kuzidi kuzifahamu siasa zetu.
Ndugu,Lowassa hakuja bure CHADEMA bali alikuja kwa fedha yake ambbayo ni hiyo Tsh 10 Billion. Mkakati wa UPINZANI mwaka 2015 ilikuwa through UKAWA.
Kwa Rais wa Muungano Dr Slaa alikuwa tayari popular kuliko mgombea yeyote yule. Mbowe na CDM walitumia muda wao wote wa 2008 hadi 2015 kimpakaza matope Lowassa kuwa ni FISADI kwa ile kashfa ya RICHMOND. Isingekuwa rahisi kimpokea hivihivi kwa kisingizio kuwa eti ndiye mgombea pekee anayeweza kuishinda CCM kwa mwaka ule. Huo ulikuwa ni uwongo tu kutetea hiyo fedha waliyochukua kwa Lowassa na kugawana na Baba mkwe wake Mtei na mgombea wa ZNZ Maalim Seif.
Hawa akina Lissu na Mnyika walipata kiasi cha mboga tu kufunga mdomo. Ukitaka ushahidi tafuta zile picha mtoto wa Mbowe alikuwa anafiri kwenda Hongkong kati ya September na December 2015. Alikwenda kufungua akaunti benki ya HSBC.
Na hiyo ndiyo sababu iliyomchefua Dr Slaa na Prof Lipumba ambao jamii inawaona ni wasaliti wa UPINZANI mpaka sasa. Ni fedha tu no more

Nina shughuli zingine za kufanya sina muda na TAKUKURU. Ila kama wewe ni mtu makini ungejifunza kitu behind Siasa za mwaka 2015 na kusambaratika kwa Dr Slaa na Prof Lipumba. Mbowe alimuuzia Liwassa Ugombea urais wa CDM. Sikulazimishi kuaminiNdugu,
Kama KWELI una hakika na uyasemayo na PIA unao ushahidi/vielelezo, basi enenda HARAKA ukaviwakilishe Polisi/TAKUKURU.
LABDA utaweza kuwasaidia sana hao ambao kwa sasa wanahangaika sana na kung'ang'aniza shutuma za kubambika.
Mungu wa kweli na haki yu hai. AMEN.