Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Palipo na Makonda, ujinga wa aina hiyo hauwezi kukosekana. It was predictable!Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.
Hiyo ni kazi ya Bashite RC Arusha. Bashite ana chuki na hasira na CHADEMA, Watz wana lijua hilo. Kuepusha uhuni wa RC Bashite na Mapoliccm CHADEMA watafute arena ingine wafanye Mkutano wao.Figisu za Msajili kule Dar figisu za Mapolisi na wanapwatuma huku Arusha.
Watatema Bungo tu🤣🤣
Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewaFigisu za Msajili kule Dar figisu za Mapolisi na wanapwatuma huku Arusha.
Watatema Bungo tu🤣🤣
"Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine"Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.
Hiyo CCM inayopora Uchaguzi inafuata sheria gani?Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Kazeni mafuvu muoneHiyo CCM inayopora Uchaguzi inafuata sheria gani?
Tukiona njia za Amani zimeshindikana tutatumia njia kama tulivyomuondoa Sultani wa Zanzibar.Kazeni mafuvu muone
Unafurahi mwenyewe kuona abdul na mama yake na dalali wao waziri salum wana gawana ardhi yako na wajomba zao waarabu na huna hata wasiwasi unashabikia tu kenge wewe, nchi hata haiwaumi hii utadhani utaishi wewe peke yako milele unasahau kuna vitoto vyako ambavyo vinategemea wewe uitunze ardhi hii ili navyo vije viifurahie kama wewe unavyo ifurahia sasa baada ya babu na baba zako kuipigania , CCM na siasa za ushabiki mnaiharibu sana nchi hiiChadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.
Wewe ni CHIZI tu, kama walivyo machizi wengine waliozoeleka humu kama akina Tlaatlaah (MAITI); nawe itabidi nikutafutie sifa inayo kufaa.Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Live to Fight Another Day...Chadema wawe makini.
..mamlaka wanataka wamkamate John Heche ili kusitisha harakati za No Reforms No Election.
..Chadema wanapaswa kukwepa mitego yote ya dola ya kumkamata John Heche.
Acha propaganda na uchawa wa kijinga ww.Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Unajua maana ya 'msajili'!?Acha propaganda na uchawa wa kijinga ww.
Hv ni sheria gani na kifungu kipi kina mpa Msajili wa Vyama va Siasa kukataa au kutoutambua uongozi wa chama chochote cha siasa Tanzania???
Kama kuna mwanachama yeyote wa CHADEMA ana tatizo na Uongozi wa CHADEMA ulio chaguliwa na Kikao halali anatakiwa aende Mahakamani. Full stop!
SawaaWewe ni CHIZI tu, kama walivyo machizi wengine waliozoeleka humu kama akina Tlaatlaah (MAITI); nawe itabidi nikutafutie sifa inayo kufaa.