CHADEMA kufungua kesi kushinikiza Mbowe aachiwe

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Tutakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu ili kushinikiza Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe aweze kuachiwa. Haya yamesemwa na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA.

Akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)
 
Mahakama siku hizi ziko huru?

Mbona hamfungui kesi ya wale Covid 19 na bwana Ndugai?.. mko kimya kwenye hili zaidi ya kelele za mitandaoni?...
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......

#KaziIendee
 
Sahihi kivipi broo. Mbona kama mbegu ya chuki badi ingalipo katika jamii.?
 
Mbona RWANDA haina siasa za hovyo za za kuvuka mipaka na kuzusha TAHARUKI?!!!

Mh.Kagame ametengwa na DUNIA ?!!!

Mh.Kagame na serikali yake wanakosa USHIRIKI wa mashirika ya UMOJA WA MATAIFA?!!!

Ujinga ni MARA MOJA TU....

Ukitaka uzichekee SIASA ZA HOVYO ZA CHADEMA basi tujiandae KULIINGIZA HILI TAIFA BORA PEKEE NA ADHIMU katika hamaniko kubwa mno.....

#KaziIendelee
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......

#KaziIendee
Mbona unaandika kama vile umebanwa na tumbo la kuhara?!!!
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......

#KaziIendee
Dikteta kaenda na harudi tena.
 
Sahihi kivipi broo. Mbona kama mbegu ya chuki badi ingalipo katika jamii.?
KULINDA maslahi ya taifa na utivu wake ulioko JPM alikuwa sahihi mno.....

Kuna watu wanatumika vibaya mno...wanataka HISTORIA YA UTULIVU WA WATANZANIA iondoke kupitia "SIASA KOKO ZA UDINI ,SIASA KOKO ZA UKABILA ,SIASA KOKO ZA UKANDA ,SIASA KOKO ZA ITIKADI ZISIZO MASHIKO"....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Dikteta kaenda na harudi tena.
Nchi ipo....

Nchi haiondoki....

Unaweza kumtukana YEYOTE....mkuu mdomo ni mali yako....

Rwanda ina UTULIVU kwa sababu ya kuwadhibiti WAPUMBAVU WACHACHE....

#KaziIendelee
 
KULINDA maslahi ya taifa na utivu wake ulioko JPM alikuwa sahihi mno.....

Kuna watu wanatumika vibaya mno...wanataka HISTORIA YA UTULIVU WA WATANZANIA iondoke kupitia "SIASA KOKO ZA UDINI ,SIASA KOKO ZA UKABILA ,SIASA KOKO ZA UKANDA ,SIASA KOKO ZA ITIKADI ZISIZO MASHIKO"....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
Wrong thinking. Acheni kujificha kwenye kichaka cha amani na utulivu nyie watu.
Kizazi kiaichoweza kushindana kwq hoja na mijadala mikali Ni kizazi mfu ndixho mnachotengeneza. Huko mbel Vijana wetu watashinda hata kunegotiate simple issues maana mnawazuia kujadikiana ndani na juoanue Elimu ya uraia.
Rejea kipindi Cha mijadala wakati wa Mkapa na Kikwete hata Mwinyi kwa wasomi pale Nkrumah hall, vioindu bya kina Paschal Mayala Kiti Moto, makala motomito kwenye magazeti hata mikutano ya kisiasa ya vyama mbalimbaki.
Vuki wapi leo. Demomrasia inaserereka kwa kasi mnooo.
 
Mahakama siku hizi ziko huru...?

Mbona hamfungui kesi ya wale Covid 19 na bwana Ndugai?.. mko kimya kwenye hili zaidi ya kelele za mitandaoni?...
Hapo sawa, siyo kwa mwamakula wala belgium
 
Mahakama siku hizi ziko huru...?

Mbona hamfungui kesi ya wale Covid 19 na bwana Ndugai?.. mko kimya kwenye hili zaidi ya kelele za mitandaoni?...
Mitandao ndio imemfanya Samia aguswe na tozo za mwigulu aliona watu wakiandamana zaidi ya mitandao.
 
Dada wa dikteta uchwara kaanza kazi rasmi.. kaeni chonjo...
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......
,ka
#KaziIendee
Mkuu nenda kajisaidie haja kubwa kwanza ndo urudi hapa uandike vizuri,kazilendee ndo nini?.
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......

#KaziIendee
Sawa na wao wakiamua kudeal nanyi perpendicularly mtatoboa!?
 
Ukicheka na "nyani" utayavuna MABUA ...

Hayati Magufuli alikuwa SAHIHI SANA .....

Usahihi wake UTAKUJA KUJULIKANA VYEMA TU huko mbeleni.....

Siasa za CHADEMA ni siasa za "TUG OF WAR"....kuvutana KAMBA....tena kuvutana haswa....

Hizo ndizo SIASA ZAO....ni siasa ambazo ukiziacha ZITAMALAKI asubuhi ,mchana na jioni BASI UJUE zikifanyika tu mwezi MMOJA MFULULIZO hwenda NCHI IKAKOSA UTULIVU AMBAO unaweza kutuingiza SEHEMU AMBAYO "KUITOKA" itakuwa ni TABU SANA.....

Dawa ya siasa zao za "hovyo" ni kudeal nao "perpendicularly"......

#KaziIendee
Hawa ni wa kuwagonga nyundo za utosi tu,hawana jema na Taifa letu.

Zamani nilikuwa nawaelewa sana enzi za Slaa,ila sasa hv chama kimejaa wahuni wahuni tu wasio na Dira na dhamira njema na nchi hii
 
KULINDA maslahi ya taifa na utivu wake ulioko JPM alikuwa sahihi mno.....

Kuna watu wanatumika vibaya mno...wanataka HISTORIA YA UTULIVU WA WATANZANIA iondoke kupitia "SIASA KOKO ZA UDINI ,SIASA KOKO ZA UKABILA ,SIASA KOKO ZA UKANDA ,SIASA KOKO ZA ITIKADI ZISIZO MASHIKO"....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
Maslahi ya ccm na majizi mengine kisahihi zaidi
 
Back
Top Bottom