chadema kufungua ofisi udom

hiii mbona haijaeleweka bana
 
watakao kuwepo mbowe,lema na wabunge

wengine ni katibu wa kinondoni na kanda ya dar es salaam KILEWO, pamoja na dady igogo, john eche hawo wapo njiani kwasasa kuelekea dom
 
nawasilisha tena chama cha demokrasia maendeleo kesho kuanzia majira ya saa nne kitafanya harakati ndani ya nje chuo cha dodom ,kitazindua ofisi kwa ajili ya wanachuo wa chuo cha dodoma wabunge mbalimbali watakuwepo wanachuo wamehasika kila mtu anasuri asubuhi ifike kazi ianze ccm wanalia msekelela ajaribu mziki watu wamponda lema katangaza harakati kali za kupambana na ccm aongea na wanachama kesho atapata kama elfu moja wanachama wapya
 
ni lini na waaapi, mbona imekaa kifupi na ni ya muhimu
 
Teh teh vijana jegeni chama kipya cha cdm maana 2015 nafasi ni yenu kuingia bungeni
 
Ni ng'ong'ona, nje kidogo ya chuo cha Elimu-Udom, karibuni sana tuendeleze harakati za kukizika chama cha kijani, wamezoea kutufanya wajinga, kila baada ya miaka mi5, wanatupima viatu, bora vingekuwa vizuri na vya kisasa, lakini viatu vyenyewe vinanuka uvundo na vinafangasi, hii haitavumilika hata kidogo,hasa kwa vijana wa kileo kama sisi.....! CCM KAENI CHONJO.....!
 
Duh lazima mujitafutie viatu vyenu visafi endelezeni libenele vijana 2015 munatakiwa kukaba rufu kila mahali serikali za mitaa,udiwani na ubunge kuendeleza nchi yenu musiwaachie michwa mutageuka vichuguu
 
udom na safari ya ukombozi wa Taifa, endeleeni hivyohivyo maana kuna watu waliwatazameni kwa jicho la usaliti
 
Finally the battle invades Udom and vry instantly the area sheds new hopes due to the arrival of the Peoplee................'s, solidarity...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…