The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na watakua mashahidi mahakamani, Hii kesi itaendeshwa kama ile ya UGAIDI
LISSU atasajiliwa chama kipya na mfumo halafu hakitafika uchaguzi mkuu October 2025 kitafutwa pia na hapo sasa Mama atakua hana upinzani utaomsumbua kwa mahesabu yao. Mnakumbuka katibu mkuu baada JJ John Mnyika ilimlazimu kujificha kanisani karibia wiki kuwakimbia Polisi waliotaka kumkamata na kumhoji juu ya utekwaji na mauaji ya Mzee Ally Mohammed Kibao?
Mr. Freeman Mbowe kua makini soon utapelekwa jela na uliowaamini watakuja kukutolea ushahidi ufungwe na chama kifutiwe usajili watasema kinaendesha mambo ya kigaidi nchini.