Uko programmed? Kwani wamekuambia kitajengwa na serikali.Subirini mtakaposhinda Uchaguzi mwaka 2445 ndo mtajenga
Ili kiwabadili hata chawa wa chukua chako mapema walau wawe wazalendo kidogoChama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetangaza dhamira yake ya kujenga chuo cha kumbukumbu kwa ajili ya kumuenzi muasisi wa chama hicho, Mzee Edwin Mtei.
Kwa mujibu wa chama hicho, chuo hicho kitajengwa katika moja ya maeneo yanayomilikiwa na Chadema na kitalenga kuwajengea vijana maadili ya uadilifu, uongozi, uchumi pamoja na mbinu za kupinga rushwa, masuala ambayo yalikuwa ni sehemu ya maono ya marehemu Mzee Mtei alipokuwa hai.
View attachment 3532834
Sawa hao ni nyumbu Je nyie 'Mbwa wa Mama' mtuambie CCM imejenga chuo kipi ukitoa vyuo vya serikali.Nyumbu zijiandae kwa michango isiyo na kikomo. Ninawapongeza sana viongozi wa CHADEMA kwa mawazo yao ya kijasiriamali yanayowanufaisha binafsi. Kama ofisi ilichukua miaka 30 hadi kupata pagale pale Mikocheni hiki chuo kitachukua hata miaka 60 kukamilika.
akili zako usiziweke huko makalioni, zinabemendwa, sio kwa muelekeo huuNyumbu zijiandae kwa michango isiyo na kikomo. Ninawapongeza sana viongozi wa CHADEMA kwa mawazo yao ya kijasiriamali yanayowanufaisha binafsi. Kama ofisi ilichukua miaka 30 hadi kupata pagale pale Mikocheni hiki chuo kitachukua hata miaka 60 kukamilika.
Wazo zuri sana. Ni suala la muda tu ila ipo siku CHADEMA watachukua uongozi wa nchi.Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetangaza dhamira yake ya kujenga chuo cha kumbukumbu kwa ajili ya kumuenzi muasisi wa chama hicho, Mzee Edwin Mtei.
Kwa mujibu wa chama hicho, chuo hicho kitajengwa katika moja ya maeneo yanayomilikiwa na Chadema na kitalenga kuwajengea vijana maadili ya uadilifu, uongozi, uchumi pamoja na mbinu za kupinga rushwa, masuala ambayo yalikuwa ni sehemu ya maono ya marehemu Mzee Mtei alipokuwa hai.
View attachment 3532834
Mwaka 2445Wazo zuri sana. Ni suala la muda tu ila ipo siku CHADEMA watachukua uongozi wa nchi.
Wazo la kujenga chuo wamedandia kwa chama gani.Chama cha kudandia kila jambo linalotokea.
Kwa akili hizi CCM watatawala Tanzania mpaka wachoke.
Na kule CCM walivyo waroho na madaraka hawachoki.
Kwa ufupi CHADEMA kimeshakufa.
Chama cha hovyo, chama cha kuomba wazungu waje waitawale Tanzania
Pilipili usiyoila yakuwashia nn makalioni?Nyumbu zijiandae kwa michango isiyo na kikomo. Ninawapongeza sana viongozi wa CHADEMA kwa mawazo yao ya kijasiriamali yanayowanufaisha binafsi. Kama ofisi ilichukua miaka 30 hadi kupata pagale pale Mikocheni hiki chuo kitachukua hata miaka 60 kukamilika.
Msiba umetokea ndo wamepata wazo .Wazo la kujenga chuo wamedandia kwa chama gani.
Mpuuzi huyu. Sijui kama huwa anasoma anachoanfikaWazo la kujenga chuo wamedandia kwa chama gani.
Wasituchoshe hawa. Ofisi tu hawana, huo uwezo wa kujenga chuo watautoa wapi??Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetangaza dhamira yake ya kujenga chuo cha kumbukumbu kwa ajili ya kumuenzi muasisi wa chama hicho, Mzee Edwin Mtei.
Kwa mujibu wa chama hicho, chuo hicho kitajengwa katika moja ya maeneo yanayomilikiwa na Chadema na kitalenga kuwajengea vijana maadili ya uadilifu, uongozi, uchumi pamoja na mbinu za kupinga rushwa, masuala ambayo yalikuwa ni sehemu ya maono ya marehemu Mzee Mtei alipokuwa hai.
View attachment 3532834
Unaelewaje ninaposema "ni suala la muda" wewe kilaza?Mwaka 2445
Namaanisha we Kilaza hilo tukio hutalishuhudia labda vilembwe vyakoUnaelewaje ninaposema "ni suala la muda" wewe kilaza?
CCM lini walijenga ofisi wanatumia majengo ya shirika la uchumi SUKITA.Wasituchoshe hawa. Ofisi tu hawana, huo uwezo wa kujenga chuo watautoa wapi??
Akili ya Heche akivuta bangi la Tarime huwa inamtuma kusema lolote