Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,809 Reaction score 6,948 Jan 22, 2026 #21 Troll JF said: Namaanisha we Kilaza hilo tukio hutalishuhudia labda vilembwe vyako Click to expand... Bado unaendelea kuonyesha ukilaza wako. Shida yenu ni wajinga halafu hamna aibu.
Troll JF said: Namaanisha we Kilaza hilo tukio hutalishuhudia labda vilembwe vyako Click to expand... Bado unaendelea kuonyesha ukilaza wako. Shida yenu ni wajinga halafu hamna aibu.
Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 10,592 Reaction score 15,404 Jan 22, 2026 #22 Keynez said: Bado unaendelea kuonyesha ukilaza wako. Shida yenu ni wajinga halafu hamna aibu. Click to expand... Kama kipimo cha mtu mwenye akili ni wewe bora nibakie mjinga.
Keynez said: Bado unaendelea kuonyesha ukilaza wako. Shida yenu ni wajinga halafu hamna aibu. Click to expand... Kama kipimo cha mtu mwenye akili ni wewe bora nibakie mjinga.
Keynez JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 3,809 Reaction score 6,948 Jan 22, 2026 #23 Troll JF said: Kama kipimo cha mtu mwenye akili ni wewe bora nibakie mjinga. Click to expand... Kwani ujinga wako ni uamuzi wako basi? Hapo kuna mchanganyiko wa kipaji, laana na uchawa ndiyo vimekupa huo ujinga. Kutoka hapo ulipo ni majaliwa.
Troll JF said: Kama kipimo cha mtu mwenye akili ni wewe bora nibakie mjinga. Click to expand... Kwani ujinga wako ni uamuzi wako basi? Hapo kuna mchanganyiko wa kipaji, laana na uchawa ndiyo vimekupa huo ujinga. Kutoka hapo ulipo ni majaliwa.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Jan 22, 2026 #24 Quinine said: Sawa hao ni nyumbu Je nyie 'Mbwa wa Mama' mtuambie CCM imejenga chuo kipi ukitoa vyuo vya serikali. Miaka siyo tatizo hasa kwenye elimu kinachoangaliwa ni Nia. Click to expand... Hujui kuna chuo cha CCM Kibaha?
Quinine said: Sawa hao ni nyumbu Je nyie 'Mbwa wa Mama' mtuambie CCM imejenga chuo kipi ukitoa vyuo vya serikali. Miaka siyo tatizo hasa kwenye elimu kinachoangaliwa ni Nia. Click to expand... Hujui kuna chuo cha CCM Kibaha?