CHADEMA kujenga ofisi ya makao makuu ndogo Dodoma

Lexuss

Member
Joined
Mar 24, 2026
Posts
24
Reaction score
28
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujengwa ofisi za Kanda ya Kati ya chama hicho kilichopo Kata ya Ipagala, Mtaa wa Ilazo jijini Dodoma.

Akizungumza katika eneo hilo, Heche amesema ofisi hiyo itakuwa makao makuu ndogo pamoja na ofisi nyingine itakayojengwa Unguja Zanzibar.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

Katibu Wa Chadema Kanda ya Kati Ashura Masoud
 
Chama ni itikadi
Kuna wanaccm wengi sana lakini hawana itikadi ya ccm
 
hakuna wa kulifanya hilo likawezekana miongoni mwa hao mamluki na wanyonge kiuchumi Tanzania
 
Iwapo ni cha kutenda usaliti hata mimi nitakuwa ni meelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…