CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua sasa hivi unafundishwa na wanasheria namna nzuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wangu

Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema sikukwambia.

Pia soma
 
Rais ameshaongea nyie kuweni na adabu, Mbowe najua ss hv unafundishwa na wanasheria namna zuri ya kuongea ili usitengeneze jinai, hao wanaokutuma ujibizane na Rais wanakuingiza chaka Mzee wang

Huna sababu ya kumjibu Rais, yeye ni kiongozi wa nchi, usije kusema ckukwambia
 
Washakula hela ya mzungu lazima wakakamae , pesa ya mzungu hailiwi bure lasivyo watafurumushwa huko canada
 
💩💩
 
Hekima ni ya muhimu sana hapa

Mithali 26 : 4 - Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 26 : 5 - Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
 
Acha upumbavu wewe, when since kumjibu rais imekuwa ni utovu wa nidhamu? Kama anahitaji kuheshimiwa aachane na urais. Ukiwa rais hakikisha unajipatia heshima siyo kutaka uheshimiwe.
 
Kwani unataka CHADEMA wawe na nidhamu wanatafuta uchumba au wanatafuta kumposa mtu? Akili za maandazi hizi,Dola haichukuliwi Kwa kupiga magoti.
 

Huyo Rais ni binadamu Kama wewe. Jana karopoka lazima ajibiwe.
 
Wewe onaonekana hata ili akili ya kukariri, nayo umeikosa!! Nchi hii wamejaa watu wengi wanaojua kusoma na kuandika tu, lakini akili ya kufanya analysis, wapo wachache sana.

Rais kwani ni nani hata asijibiwe pale anapopotosha? Unaamini kuwa Rais hawezi kukosea? Au Rais siyo mwanadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…