CHADEMA kujiandaa kumjibu Rais Samia ni utovu mkubwa wa adabu

Ni katika nchi gani hiyo? By the way, kuna nchi nilikwenda hapa Afrika, nikaingia ofisi moja ya serikali na kulikuwa na kibao chenye maandishi haya: There are only two rules in this country: Rule No 1: The boss is always right.
Rule No 2: If he/she is not right refer two Rule No 1. Umenikumbusha kanuni hizi mbili.
 
Kwamba haujuwi siasa ama?.
 
Siku zote huwa siwaamini wanasiasa,hata wakijibu au kutokujibu alichosema Amiri Jeshi Mkuu naona sawa tu.
Nadhani anayestahili kujibiwa ni CCM kwa kuwa na wao walikuwa na kikao chao.
 
Mimi co mwanachama wa CHADEMA; ila wanitafute nataka tumalize ugomvi
 
Hii mijitu mijinga ni yakupiga fimbo
Yaani umchague mtu kuwaongoza alafu akiwaongoza vibaya na kutotimiza wajibu mliompatia kuyatekeleza then mkiongea ni kosa? Hii upumbavu unajifunza wapi?
Punguza upumbavu ndugu utafika mbali.
 
Samia Must Go imelete balaa
 
Samia Must Go imelete balaa
 
Tupo pamoja mkuu nilitaka niipandishe hii ya amplified Bible nashukuru umeiweka.
 
Kwanini wasiongeee...nyau wewe...😠
 

Kwa nini asijibiwe kwani ni Mungu?Muhimu ni kujibiwa kwa hoja za msingi
 
Allah Akbar ! Mungu Mkubwa ,hakuna mwingine Mkubwa zaidi ya Mungu ,huyu Bibi Chura Kiziwi ni mtu tu wa kawaida so atapewa haki yake kikatiba ,kama hataki kuambiwa chochote aachie ngazi uone kama kuna mtu atamsema.
 
Katika hotuba za Mama hakuna alikosema ni "Marufuku Vyama vya Upinzani kujibu hotuba zangu"!
Kwa hiyo ajibiwe ila kwa Heshima na Adabu!
 
Yeye sio mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…