Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

Tetesi: CHADEMA kujitoa kwenye maridhiano

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Kesho Baraza la Wazee CHADEMA watakutana na waandishi wa habari mchana.

Taarifa za uhakika ni kuwa Lissu amefanikiwa kumshawishi Mbowe kuachana na Maridhiano. Hii ni baada ya msimamo wa Mbowe kwenye swala la bandari ambao ni kinyume na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Rais Samia.

Can they pull out of this?
 
Agenda ya Baraza la Wazee ni kuhusu kusikitika kwao na kutounga mkono uuzaji wa bandari.

Hayo mambo ya Lissu kuwa moto na Mbowe kuwa baridi ni movie yao tu kuelekea 2025.
 
 
Back
Top Bottom