Heri ya mwaka mpya wana JF Kwanza naomba nikiri mimi siyo chawa na siamini kwenye uchawa. Pili mapenzi yangu kwa huyu mama si ya kimahaba au kingono, bali navutiwa na jinsi alivyo nyanyuliwa na utendaji wake. Sababu zangu: Kwanza, huyu mama ni chaguo la Mungu. Hakuwahi utaka uraisi, bali...