Chadema kumfukuza kazi mkurugenzi wa manispaa ya moshi!!

Chadema kumfukuza kazi mkurugenzi wa manispaa ya moshi!!

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
213
Chama cha demokrasi na maendeleo chadema kimesema kitachukua hatua za kumfukuza kazi mkurugenzi wa manispaa ya moshi kama ataendelea na tabia yake ya kususia vikao na kuwaacha madiwani na meya wa manispaa hiyo ambao kimsingi ndio waajiri wake. Amesema wanayo mamlaka ya kumfukuza kazi na kama serikali itamlindi basi watamfungia nje ya ofisi. Zaid ya hapo mbowe amezitaka halmashauri kujifunza kuongoza halmashauri katika mfumo wa vyama vingi. Source: mlimani tv habari.
 
kafanya nini tena?
Mkuu mtoa hoja si ameeleza kuwa sababu ni kutohudhuria viako vya Halmashauri ambavyo yeye ndie Mtendaje Mkuu? Hivi huyu si ni Benadetha Kinabo aliyepata zawadi ya Mfanyakazi bora wakati wa Mei Mosi pale Moro? AU kuwa mfanyakzi bora ni lazima uhujumu upinzani? Fukuzeni haraka huyo mama maana atawakwamisha bure
 
Htyo mama naona anaiendesha halmashauri kishosti kana kwamba yuko saluni...cha ajabu eti anapewa zawadi ya mei mosi kwa vigezo vpi hasa,hvi zawadi yake ilihusu nini eti?
 
serikali ikiwa ya kizuzu ni wote huwa mazuzu mazombie
 
Htyo mama naona anaiendesha halmashauri kishosti kana kwamba yuko saluni...cha ajabu eti anapewa zawadi ya mei mosi kwa vigezo vpi hasa,hvi zawadi yake ilihusu nini eti?
Kamuiga makinda.Hao ndio wateule wa J.K.
 
Huyu mama Kinabo hana akili kabisa anadhani ataendelea na mambo yake ya kiccm ccm huku madiwani wachapakazi wa cdm wakimchekea? Asipoangalia tutamvua magamba na ngozi yake
 
Back
Top Bottom