samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Mkuu mtoa hoja si ameeleza kuwa sababu ni kutohudhuria viako vya Halmashauri ambavyo yeye ndie Mtendaje Mkuu? Hivi huyu si ni Benadetha Kinabo aliyepata zawadi ya Mfanyakazi bora wakati wa Mei Mosi pale Moro? AU kuwa mfanyakzi bora ni lazima uhujumu upinzani? Fukuzeni haraka huyo mama maana atawakwamisha burekafanya nini tena?
Kamuiga makinda.Hao ndio wateule wa J.K.Htyo mama naona anaiendesha halmashauri kishosti kana kwamba yuko saluni...cha ajabu eti anapewa zawadi ya mei mosi kwa vigezo vpi hasa,hvi zawadi yake ilihusu nini eti?