CHADEMA kumtangaza Lissu kugombea uspika bunge la katiba

CHADEMA kumtangaza Lissu kugombea uspika bunge la katiba

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
8,652
Reaction score
2,628
Wakuu

Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA

Tundu ni gwiji wa sheria nchini.
 
Anastahili kuwa spika wa bunge la katiba, na ikitokea wabunge wakaweka itikadi za vyama pembeni na kumchagua Tundulisu, basi tutapata katiba tuitakayo wananchi, wabunge wote pamoja na wale wajumbe watokao nje ya bunge, hakuna mtu asiyejua uwezo wa Tundulisu, ila sasa kama mjuavyo, ccm lazima watamuweka mtu wao wamtakaye kwa kuwa wao wapo wengi, na si kuangalia uwezo wa mtu, ila uwepo wake bungeni tu, ni faraja kwetu, Mungu awpige upofu wote wanatakaoendekeza uchama badala ya utaifa.
 
Kumbe mtu anaweza kukuzwa kwenye mitandao weee, hadi akajiona kakua? Ingekuwa kura zinapigwa efujei angeshinda, ila bungeni, hi hi hi hi.
 
Anastahili kuwa spika wa bunge la katiba, na ikitokea wabunge wakaweka itikadi za vyama pembeni na kumchagua Tundulisu, basi tutapata katiba tuitakayo wananchi, wabunge wote pamoja na wale wajumbe watokao nje ya bunge, hakuna mtu asiyejua uwezo wa Tundulisu, ila sasa kama mjuavyo, ccm lazima watamuweka mtu wao wamtakaye kwa kuwa wao wapo wengi, na si kuangalia uwezo wa mtu, ila uwepo wake bungeni tu, ni faraja kwetu, Mungu awpige upofu wote wanatakaoendekeza uchama badala ya utaifa.

Umeandika vizuri lakini sasa kishabiki zaidi .
 
Ukitaka katiba yetu iwe mbaya kuliko hiyo inayoenda kupitishwa Lissu awe kama hivyo mnavyotaka mama weeeeeeeee sijui.........!!!! na ni kitu ambacho akiwezekani awe.
 
Kuna kipengele kilichowekwa makusudi eti cha "awe ameshawahi fanya kazi zinazofanana (uspika)'.
Hicho ndo maccm watakacho cheza nacho.
 
Kuna kipengele kilichowekwa makusudi eti cha "awe ameshawahi fanya kazi zinazofanana (uspika)'.
Hicho ndo maccm watakacho cheza nacho.

Kwa kipengele hicho nadhani kwa wale wajumbe wengi wao hawajakidhi viwango...
 
Tundu Lissu hana vigezo vya kuwa Spika wa Bunge la Katiba.
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana wapinzani hawakujiandaa kuwa na spika katiba bunge la katiba, wamezidiwa na CCM ambao wanajua fitina za namna hii zaidi.
 
TL hana busara ya kuwa spika. Anafaa akae hivo hivo bac!
 
Tundu lisu ana vigezo vyote vya kuchsguliwa kuwa Speaker wa Bunge la katiba,Lakini ukakasi ulioko kati ya wajumbe wa bunge hilo hawatsmchagua sababu wengi wako kwa maslahi ya chama na watu binafsi.
 
Back
Top Bottom