DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Anastahili kuwa spika wa bunge la katiba, na ikitokea wabunge wakaweka itikadi za vyama pembeni na kumchagua Tundulisu, basi tutapata katiba tuitakayo wananchi, wabunge wote pamoja na wale wajumbe watokao nje ya bunge, hakuna mtu asiyejua uwezo wa Tundulisu, ila sasa kama mjuavyo, ccm lazima watamuweka mtu wao wamtakaye kwa kuwa wao wapo wengi, na si kuangalia uwezo wa mtu, ila uwepo wake bungeni tu, ni faraja kwetu, Mungu awpige upofu wote wanatakaoendekeza uchama badala ya utaifa.
Hawa ndiyo Bavicha utawajua kwa michango yao.Watakunya ccm
Kuna kipengele kilichowekwa makusudi eti cha "awe ameshawahi fanya kazi zinazofanana (uspika)'.
Hicho ndo maccm watakacho cheza nacho.
Hawa ndiyo Bavicha utawajua kwa michango yao.
Tundu Lissu hana vigezo vya kuwa Spika wa Bunge la Katiba.