Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je chadema kumtumia sallum mwalimu kama mgombea mwenza wa Urasi Tundu lissu ni turu kupata kura za vijana ?View attachment 1529259
Kwa mfano jibu likawa ndiyo! So what?? Thread zingine bwana.Je, CHADEMA kumtumia Salum Mwalimu kama mgombea mwenza wa Urais Tundu Lissu ni turufu kupata kura za vijana ?
Hana kitu uyo ashawahi kugombea ubunge chini ya ukawa akapigwa chini hana ushawishi wowote
Hana kitu uyo ashawahi kugombea ubunge chini ya ukawa akapigwa chini hana ushawishi wowote
Sijui niongee nini kuhusu chadema maana kila hatua wanapatia !Chadema ni chama Makini mno !
Umesahau mliiba kura mkampiga risasi Dada akwilinaHana kitu uyo ashawahi kugombea ubunge chini ya ukawa akapigwa chini hana ushawishi wowote